Mtandao
wa kimataifa unaojihusisha na utengenezaji wa fedha bandia
unaowahusisha baadhi ya wafanyabiashara wa nchi jirani ya Kenya na
Tanzania umebainika kuwepo nchini kufuatia jeshi la polisi kukamata tena
dola za kimarekani na kusababisha fedha bandia zilizokamatwa katika
kipindi cha siku mbili kufikia zaidi ya shilingi milioni 250.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
-
-
BAADHI ya wamiliki wa mabasi mkoani Shinyanga, wamesema asilimia 24.46 iliyoongezwa katika nauli haitoshi. Wamiliki hao wameyasema hayo...
-
Mabasi 17 yatokayo Dar es Salaam kuelekea mikoa mbalimbali nchini yamefungiwa kusafirisha abiria baada ya kukutwa na makosa mbalimbali ku...
-
Mkuu wa Majeshi Nchini, Davis Mwamunyange na Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Said Mwema nao wametakiwa kuji...
No comments:
Post a Comment