Wednesday, October 10, 2012

Bima ya Afya wamuenzi Nyerere :

KATIKA kuhakikisha Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere anaenziwa kipekee, Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unaendesha upimaji afya za wanachama na wananchi kwa ujumla mkoani Shinyanga ambako kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Vijana yatafikia kilele Oktoba 14

No comments:

Zilizosomwa zaidi