Wafanyabiashara wa mjini Iringa wamegoma asubuhi hii wakishinikiza Mamlaka ya Mapato Tanzania
(TRA) iondoe mashine za EFD kwa madai kwamba wananyonywa na ni wizi
mtupu.Maduka karibu yote ya Miyomboni yamefungwa na wafabishara hao
wameandamana kuangalia yale ambayo hayajafungwa ili washinikize wenzao
wayafunge kwa nguvu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Wakati Watanzania wakisubiri matokeo ya kidato cha pili mwaka 2013, imebainika kuwa Serikali imetoa agizo kwamba wanafunzi wote ...
-
Sote tunaweza kuwa maarufu, tunaweza kuwa chochote tunachotaka . Pamoja na hayo, jambo moja ambalo ni dhahiri itakuwa ni vigumu sana k...
-
Barclays Premier League 12:30 Liverpool v Manchester United 12:30 West Bromwich Albion v Swansea City 15:00 Arsenal v Tottenham Hots...
-
Bandari ya Mwanza Kaskazini na Kusini yachafuka ni kutokana na mgomo wa wafanyabiashara na watu wanaofanya shughuli za kubeba mizigo (...
-
Wakati idadi ya makanisa yaliyochomwa moto kutokana na vurugu zilizotokea juzi Mbagala Kizuiani jijini Dar es Salaam ikifikia saba, ...
No comments:
Post a Comment