Tuesday, September 16, 2014

MWATHIRIKA WA MABOMU MBAGALA ALIPWA HUNDI YA SHILINGI 1950 TU.

Mwathirika wa mabomu ya Mbagala ya mwaka 2009, Said Omary Mbonde akionyesha cheki malipo ya Tsh 1950 kutoka Benki Kuu wakati wa mkutano na waandishi, uliofanyika katika shule ya msingi Mbagala Kuu, jijini Dar es Salaam. 
Chanzo: Tanzania yetu

No comments:

Zilizosomwa zaidi