Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inatoa
nafasi nyingine kwa watu wenye sifa za kujiunga na vyuo vikuu kutuma
maombi yao kwa msimu wa masomo wa 2013/2014.
Mwisho wa kutuma maombi hayo ni tarehe 07.09.2013.
Kwa maelezo zaidi ingia
www.tcu.com
No comments:
Post a Comment