Kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania(BOT), Dsm ndio mkoa unaoongoza kwa kuchangia pato la taifa. |
1. Dar-es-salaam(GDP-7.5 trilion)
2. Mwanza(GDP-4.09 trilion)
3. Mbeya(GDP-3.2 trilion)
4. Shinyanga
5. Iringa
6. Morogoro
7. Arusha(GDP-2.1 triliom)
8. Tanga(GDP-2.09 trillion)
9. Kilimanjaro(GDP-2.03 trillion)
Cha
kushangaza ni kuwa mkoa wa Mtwara ambao umezungukwa na gesi yenye ujazo
wa mabilioni haupo kwenye orodha hiyo.
Lakini
swali ni je,kwanini arusha haipo hata katika top 3 ya mikoa tajiri
yenye kuchangia pato la taifa? Inaonekana makampuni mengi ya utalii
yanamilikiwa na wageni au mengi yanatokea katika mkoa wa Dsm.
No comments:
Post a Comment