Wednesday, March 20, 2013

MVUA KALI IMESABABISHA MAPOROMOKO HUKO BRAZIL...!

Waokoaji PetropolisTakriban watu 27 wamefariki baada ya ardhi kuporomoka mjini Petropolis, eneo la milimani kaskazini mwa Rio de Janeiro, Brazil, baada ya mvua kubwa kunyesha.

No comments:

Zilizosomwa zaidi