Kesi iliyokuwa inamkabiri mwenyekiti wa zamani wa chama cha CUF Pro Ibrahim Lipumba na baadhi ya wafuasi wa CUF kwa kosa la kuandamana bila kibali, imefutwa leo hii katika Mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es salaam, Kesi hiyo ambayo ilikuwa isomwe Jan. 15.2016, ilirudishwa nyuma na kusikilizwa leo asubuhi ambapo maamuzi ya kufuta kesi hiyo yametolewa rasmi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Chris Walton mwenye umri wa miaka 47 ndiye mwanamke mwenye kucha ndefu zaidi duniani zenye urefu unaozidi futi 20, hajawahi kuz...
-
Matokeo ya kidato cha pili yametangazwa leo na Naibu waziri wa Elimu Bw.Philip Mulugo kupitia vyombo vya habari na yako hivi: Wal...
-
Ajali mbaya imetokea mchana wa leo katika eneo Mbwewe Bagamoyo ikihusisha bus la kampuni ya Meridian lililokuwa likisafirish...
-
-
No comments:
Post a Comment