Tuesday, September 10, 2013

RAIS KIKWETE ATAWAZWA KUWA MTEMI WA SUNGUSUNGU KITAIFA

Chifu wa Wasukuma Wilaya ya Kwimba Shimbi Martin Morgan akimabidhi silaha za jadi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa sherehe za kumtawaza kuwa Mtemi wa Sungusungu Kitaifa, zilizofanyika kijiji Ngudu, Wilayani Kwimba Mkoa wa Mwanza. 

No comments:

Zilizosomwa zaidi