Saturday, September 8, 2012
Wakuu wa shule za sekondari nchini wanatakiwa kujiepusha na vitendo vya rushwa. Hii ni baada ya kujitokeza katika baadhi ya shule mkoani Kilimanjaro ambapo walimu wakuu wamekuwa na tabia ya kupokea rushwa ili kuwasajiri wanafunzi kuingia kidato cha Kwanza japo walifeli shule za msingi. Vitendo hivyo vya rushwa vimesababisha usajiri wa wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom, Yanga Sports Club na makamu bingwa Azam FC wanatarajia kuvaana kesho (Jumamosi) kwenye mec...
-
-
4 Aug2014 Wanafunzi wa mzumbe main campus Morogoro wameua mwizi alyeiba laptop kutoka mabwen mawil tofauti kwa taarifa zai...
-
-
1.AUSTIN MORRIS A-40 AUSTIN MORRIS A-40 Gari aina ya Austin Morris A-40 lilitengenezwa nchini Uingereza kati ya mwaka 1940 ...
No comments:
Post a Comment