Monday, September 17, 2012

Waziri wa ujenzi na miundombinu Dk John Magufuri, amesema bilion 500 zimetumika katika ujenzi na ukarabati wa miundombinu jijini Dar. Amesema mgawanyo wa billion 500 umepelekwa katika ujenzi wa barabara ya Msata kuelekea Bagamoyo, pamoja ujenzi wa daraja la huko kigamboni.

No comments:

Zilizosomwa zaidi