Thursday, August 14, 2014

WANAFUNZI MZUMBE WAMUUA MWIZI WA LAP TOP KWA KUMPIGA MAWE

  • 4Aug2014
Wanafunzi wa mzumbe main campus Morogoro wameua mwizi alyeiba laptop kutoka mabwen mawil tofauti kwa taarifa zaid zinasema uuaji huo umetokea na hasira kali za wanafunzi hao kuibiwa laptop kila siku na pia mwanzafunz mwenzao kuvamiwa barabaran na kujeruhiwa na visu siku zilzopita....

No comments:

Zilizosomwa zaidi