Saturday, September 8, 2012
Wakazi wa eneo la Mlimani mkoani Morogoro wamelalamika kwa kukosa umeme kwa muda mrefu sasa japo nguzo za umeme zimepita katika eneo lao. Mpaka sasa wakazi hao wanalalamika kwa Zahanati yao kukosa Umeme hali ambayo inasababisha wazazi kujifungua watoto gizani hali ambayo ni hatari sana. Serikali inaombwa kulitatua tatizo hilo mapema iwezekanavyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
-
Huyo jamaa mwwenye kofia ndio alihusika katika kurusha sarafu uwanjani na kumsababishia jeraha Ferdnand
-
-
Ukitaka utamu wa hat-trick muulize huyo jamaa....... katika channel ya MTV kijana mdogo Hernandez Chicharito alionekana mwenye furaha kwa ...
-
Baada ya maombi mengi kutoka kwa vijana wanaopenda mziki wa kizazi kipya kutaka kupata msaada wa kupelekwa studio kurekodi nyimbo, sasa...
No comments:
Post a Comment