Thursday, September 20, 2012

Milioni 73 zapatikana kwa mechi moja. Katika michuano ya ligi kuu Tanzania inayoendelea, hapo jana katika mchezo kati ya Simba na Ruvu JKT katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam, jumla ya mil 73 zimekusanywa katika mchezo huo.

No comments:

Zilizosomwa zaidi