Thursday, September 20, 2012

Mashindano ya Redd's miss Temeke kufanyik kesho jijini Dar. Siku ya kesho katika ukumbi wa PTA katika uwanja wa maonesho ya mwalimu Nyerere. Mashindano hayo yataambatana na burudani ya muziki kutoka kwa bendi ya Mashujaa ya jijini Dar.

No comments:

Zilizosomwa zaidi