Thursday, September 20, 2012

Bidhaa kutoka nje ya nchi kuzorotesha soko la ndani. Haya yamesemwa na wawekezaji nchini kuwa bidhaa zinazoingia nchini kutoka nje ni nyingi sana. Hivyo wameiomba serikali kudhibiti uingizaji wa bidhaa kutoka nje ili kukuza soko la ndani na kujiongezea pato la taifa.

No comments:

Zilizosomwa zaidi