
George Tyson
amefikwa na mauti katika ajali mbaya baada ya gari aina ya Noah walilokuwa
wakisafiria kupinduka mara kadhaa kutokana na kupasuka tairi.
Ajali hilo
ilitokea majira ya saa moja eneo la gairo mkoani Morogoro. Watu wengine
wanne waliokuwa kwenye gari hilo walikimbizwa Hospitali ya Rufaa ya Morogoro
kwa matibabu kutokana na kuumia sehemu mbalimbali mwilini
No comments:
Post a Comment