HUYU NDIO AMECHUKUA NAFASI YA DAVID MOYES BAADA YA KUTIMULIWA
Kutokana na Manchester United kutofanya vizuri chini ya
uongozi wake David Moyes hatimaye leo April 22
wamemtangaza Mchezaji wa siku nyingi wa Manchester United Ryan Giggs
kukabidhiwa kwa muda mikoba ya David Moyes aliyetimuliwa kazi leo
No comments:
Post a Comment