Baadhi ya
abiria wa kutoka sehemu mabalimbali wakisubiri lori lililoziba barabara
kuondolewa baada ya kupata ajali ya kugongana na lori jingine kwenye
mlima Kitongo. Ajali hiyo imesababisha magari mengi kuweka kambi kwa
muda wa zaidi ya saa nne.
Lori likiwa limetumbukia kwenye korongo mlimani kitonga
Lori la
mafuta lililopo upande wa kulia na lori la mizigo lililopo upande wa
kulia yaligongana na kuziba barabara kwenye mlima kitonga na kusababisa
magari mengine kukwama kwa zaidi ya saa manne
No comments:
Post a Comment