Tuesday, March 11, 2014

LEMA ASHANGAZWA NA HALI YA JIMBO LA KALENGA




Mjumbe wa kamati kuu chadema na mbunge wa Arusha mjini akiongea kwa masikitiko makubwa jana katika mkutano wa hadhara jimbo la Kalenga katika  kata ya Maboga kijiji cha Kiponzelo akiona mtoto ambaye anaumri kama wa mwanae akiwa katika hali hiyo huku ikiwa mbunge aliekuwepo alikua waziri wa fedha, mtoto huyo hajui kitu kina itwa shule au darasa.

No comments:

Zilizosomwa zaidi