
Mmoja wa 
wafanyakazi katika ofisi ya Mhandisi wa manispaa ya Dodoma akitoa amri 
ya kuondoa moja ya vibanda vilivyojengwa kiholela katika stendi ya 
daladala Jamatini wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa vibanda vya 
wafanyabishara.

Mhandisi 
masaidizi manisaa ya Dodoma Luanda akitoa maelekezo kwa mama lishe 
waliopo katika stendi ya Daladala ya Jamatini kujenga vibanda sawa na 
vipimo vilivyowekwa sawasawa na utaratibu na sheria ndogo ndogo za 
manispaa hiyo.

Mwajuma 
Salum maarufu Bibi Ndonga (64) akimlalamikia kwa kumuonyesha Mhandisi 
msaidizi wa manispaa ya Dodoma Luanda stakbadhi ambazo amekuwa akilipia 
katika kipindi cha miezi miwili bila kukabidhiwa eneo la kuweka kibanda 
chake cha biashara na viongozi wa eneo hilo mhandisi


Asikari 
wa kutuliza Ghasia wakiwa na mtutu wa Bunduki kusimamia uhakiki wa 
vibanda vya wafanyabiashara katika stendi ya Daladala Jamatini Dodoma 
kama utaratibu uliyowekwa ulifuatwa wakati wa ugawaji na ujenzi.
No comments:
Post a Comment