Monday, March 10, 2014

HUYU NDIO MWENYEKITI WA CHADEMA ALIYECHOMWA KISU MKOANI IRINGA

Daktari akiwa amezamisha kidole chake kwenye jeraha la Ndugu Richard wakati alipokuwa akimsafisha kidonda baada ya tukio hilo. Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kalenga, kwa taarifa zisizo rasmi zinasema wamchoma kisu cha Mbavu Ndugu Richard ambaye ni M/Kiti wa Tawi la CHADEMA la Kijiji cha Tagamenda
 Ndugu Richard ambaye ni M/Kiti wa Tawi la CHADEMA la Kijiji cha Tagamenda Akionyesha jeraha lake maeneo ya kifuani

No comments:

Zilizosomwa zaidi