Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan,wakati wa uhai wake.
Maafisa
wa vikosi mbali mbali vya Ulinzi vya Zanzibar wakiusubiri mwili wa
marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan ukitokea katika
Hospitali ya Lugalo Jijini Dar es Salaam baada ya kufariki jana.
Baadhi
ya wananchi na wanafamilia wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari
Shaabani Hassan wakiwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid
Amani Karume Zanzibar,kuupokea mwili wa Marehemu huyo aliyefariki katika
Hospitali ya Jeshi Lugalo Jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wanafamilia wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan
wakiteremka katika ndege ya Jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ,baada ya
kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
Zanzibar,ikiwa na mwili wa Marehemu huyo.
Wanajeshi
wa JWTZ hapa Zanzibar wakiuteremsha mwili wa marehemu Meja Jenerali
Mstaafu Bakari Shaabani Hassan,kutoka katika Ndege ya jeshi hilo
iliyotua leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume
ukitokea katika Hospitali ya Jeshi Lugalo baada ya kufariki juzi.
Maafisa
wa Jeshi la JWTZ wenye vyeo vya Meja wakiwa wamebeba Mwili wa marehemu
Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan,ukitokea katika Hospitali
ya jeshi Lugalo baada ya kufariki juzi marehemu amefariki akiwa na umri
wa miaka zaidi ya Sitini.
Maafisa
wa Jeshi la JWTZ wenye vyeo vya Meja wakiwa wameubeba Mwili wa marehemu
Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan,ukitokea katika Hospitali
ya jeshi Lugalo baada ya kufariki juzi marehemu amefariki akiwa na umri
wa miaka zaidi ya Sitini.
Wananchi
na jamaa wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan
waliofika kuupokea Mwili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid
Amani Karume ukitokea katika Hospitali ya Jeshi Lugalo baada ya kufariki
juzi tayari ukiwa umeingizwa katikagari la Kijeshi kupelekwa Nyumbani
kwao Miembeni Mjini Unguja.
Ndugu
na Jamaa wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani
Hassan,wakilia kwa uchungu baada ya kufika mwili katika uwanja wa ndege
wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,tayari kwa mazishi yake
yatakayofanyika leo kwa heshima zote za Kijeshi katika makaburi ya
Tomondo Wilaya magharibi Unguja.

No comments:
Post a Comment