Mwenyekiti wa Muda wa Bunge maalum La
Katiba Mh Pandu Kificho Ameahirisha Semina ya kujadili Kanuni za Bunge
Maalum la Katika Kutokana na Vuruguru,
Kutokana na Hali ya Kutokuelewana
Kati ya Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mh Ole Sendeka kwa Kutoleana maneno na
Mbunge Mwenzake wakati Mbunge Huyo alipohoji kuhusu Kanuni hizo. Hivyo
hali hiyo imepelekea kuairishwa kwa bunge hilo maalum Dodoma.
No comments:
Post a Comment