Thursday, March 6, 2014

HII IMETOKEA HAPO JANA: MWANAMKE AJIFUNGUA NDANI YA BASI LA ABIRIA

 Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja jina halijafahamika anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 20-25 akiwa na mumewe, wakitokea wilayani Chunya mkoani Mbeya
wakielekea wilayani Mbozi amejifungulia kwenye gari aina ya Coaster jana lenye namba T 653 CTC.
Gari hiyo ilikuwa ikielekea Tunduma ambapo imeelezwa kuwa Mwanamke huyo alijifungua mtoto wa kiume.

No comments:

Zilizosomwa zaidi