
Tukio hilo la kustaajabisha lilitokea jumatatu wakati wa ibada, ambapo Mchungaji Lesego aliwaambia waumini wake kuwa Yesu anahitaji wanafunzi zaidi ya wale 12, hivyo ili waweze kufanyika wanafunzi wa Yesu wanahitaji kufanya kitu cha pekee ambacho hakijawahi kufanyika, kisha akawelekezaa kula nyasi, ndipo wamini hao wakakimbilia kwenye bustani ya kanisa na kuanza kuguguna nyasi hizo mithili ya mifugo..
Gazeti la Christian Post nchini humo limesema kitendo alichofanya mchungaji huyo ni cha kustaajabisha japo hawawezi kumuita nabii wa uongo.
No comments:
Post a Comment