Saturday, October 19, 2013

ZITTO; "NIPO TAYARI KUNYONGWA KWAAJILI YA HILI ILA SITATOA RUZUKU KWA CHADEMA WALA CCM WASIPOKAGULIWA"

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Zitto Kabwe akitoa ufafanuzi juu ya taarifa yake ya mahesabu ya vyama 9 vya siasa ambavyo havijapeleka ripoti ya ukaguzi wake wa mahesabu kwa Msajili. Baadhi a vyama hivyo vilikanisha taarifa hiyo.

No comments:

Zilizosomwa zaidi