“Ninaamini
Mungu yupo...anasikia,anaona na ndiye mwenye kuhukumu kwa Haki...!!!!Dua
zangu ziko pamoja na Mzee Nguza na Papii Kocha...!hakuna
linaloshindikana mbele ya Mwenyezi Mungu...Kama anaweza kutoa Jaribu
basi yeye pia ndo mwenye Uwezo wa kufanya
Njia ya kutoka ktk jaribu Hilo...!Mwenyezi Mungu awasimamie katika
rufaa yenu...!AMEN” Hayo ni maneno ya mwanadada Elizabeth Michael (LULU)
aliyoyaandika kupitia kwenye mtandao akiwaombea kheri Mzee Nguza na
mwanawe Papii Kocha wanaosubiria kusikilizwa kwa rufaa yao ya kesi ya
ulawiti inayowakabili
Toka atoke jela, mwanadada lulu ameonekana kubadilika sana kitabia tofauti na alivyokuwa akionekana hapo awali.
Toka atoke jela, mwanadada lulu ameonekana kubadilika sana kitabia tofauti na alivyokuwa akionekana hapo awali.
No comments:
Post a Comment