PICHA tatu za juu ni wapenzi wa muziki wa injili wakiwa tayari
wamechukua nafasi zao wakisubiri kuanza shughuli moja tuuuuuu....KUSIFU
NA KUABUDU.
PICHA hizi mbili, ni vijana wa TAFES - SAUT Praise team, wakishusha uwepo wa Bwana.
BAADAE SHUGHULI IKAHAMIA KWA GWT
Paul, akiimba pamoja na wenzake (GWT)
Kawaida ya muziki wa injili huwa sio kumtazama mwimbaji, wooooteee
mnakuwa watazamaji na waimbaji pia, maana zinapokolea sifa ukumbi
unakuwa wima kama hivi.
Erick Shigongo (Mwenye suti) hapa nae akirudisha sifa heshima na utukufu.
PICHA YA CHINI NA YA JUU , Mabinti wa GWT wakimsifu Mungu
Hakiaka kusifu kunawapasa wanyoofu wa Moyo
Madada wa Glorious Worship Team
Vijana wa Grolios Worship Team
Erick Shigongo akiteta jambo na kiongozi wa GWT Emmanuel Mabisa |
ERICK SHIGONGO akitoa ujumbe hapa.''ili uweze kufanikiwa ni
lazima uanze kufanya jambo...lakini pia ili uweze kufanikiwa anza
kufikiri na aina ya watu pia wanaokuzunguka, tafuta wale wa aina ambayo
wewe unataka kufanana nao''
Wapiga vyombo wa GWT, Kushoto Emma Solo , kulia Emma Bass.
No comments:
Post a Comment