Monday, September 30, 2013

DIAMOND PLATNUM AKIWACHEZESHA NGOLOLO WAKAZI WA MWANZA NDANI YA GOLD CREST HOTEL

Mzee wa ngololo ngololo dance akiimba sambamba na mwanamuziki wa bendi ya Skylight bendi.
Hii style kama Diamond anaimba vile kumbe alikuwa anaangalia kwa nyuma pale.
Hapa Diamond akicheza na mashabiki wake kale kamchezo kapya ka ngololo dance, now nawaonesha how they do.
Mkurugenzi wa Skylight Entertainment bwana Sebastian Ndege akimpigia makofi mkali Diamond wakati akiimba kwa stage.
Baadhi ya mashabiki na mapapalazi wetu wakiwa wanashuhudia burudani kabambe kutoka kwa Diamond.
Baadhi ya wakina dada waliokuwa wakifurahia muziki mzuri wa asali ya warembo mzee wa ngololo dance alivyokuwa akitumbwiza ndani ya Hotel ya Gold Crest jijini Mwanza.

No comments:

Zilizosomwa zaidi