Thursday, September 12, 2013

BAADA YA TANZANIA KUANZA MCHAKATO WA KUWAONDOA WAHAMIAJI HARAMU NCHINI, UMOJA WA MATAIFA UMETOA KAULI HII

Umoja wa Mataifa umesema kuwa takriban wahamiaji haramu elfu 25 kutoka Burundi wameondoshwa Tanzania kwa nguvu katika mwezi mmoja uliopita.
Afisa wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia wakimbizi UNHCR amesema malori yanayowasafirisha warundi yamekuwa yakivuka mpaka kila siku , huku wahamiaji haramu wengi wakikosa mahitaji muhimu kama vile maji na chakula
Katika wiki za hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikiwarejesha makwao kwa nguvu wale walioelezwa wahamiaji haramu kutoka Burundi, Rwanda na Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo.
Kwa miaka mingi Tanzania iliwahifadhi mamilioni ya wakimbizi waliokuwa wakiyakimbia mapigano katika nchi jirani .
Takriban watu milioni moja walitoroka kutoka Burundi na kuingia Tanzania wakati wa mgogoro wa wenyewe kwa wenyewe wakati vita vilipozuka mwaka 1993. Wengi walirejea kwa hiari wakati amani ilipopatikana mwaka 2006.
Nchi hiyo imekuwa makao kwa mamilioni ya wakimbizi katika kipindi cha zaidi ya miaka kumi iliyopita kutokana na migogoro katika eneo la maziwa makuu.
Maafisa wa Tanzania sasa wameanza kutekeleza amri ya kuwaondoa kwa nguvu wale wanaodaiwa kuwa wahamiaji haramu kutoka Burundi, Rwanda, na Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo.
Shughuli hii imetokea wakati mmoja na mgogoro wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Rwanda ambayo imekuwa ikikanusha madai ya kuchochea vurugu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Mgogoro ndani ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo nao unaendelea kuchochea idadi ya wakimbizi wanaotoroka vita na kuingia katika nchi jirani.
RAIS mstaafu Benjamin Mkapa ametuhumiwa kwamba ndiye aliyerejesha nchini rushwa, kitu ambacho kilipigwa vita na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, ambaye ndiye aliyewalea kiuongozi na kisiasa Mkapa na viongozi wengi wengine wa sasa.
Tuhuma hizo zimetolewa na mwandishi mkongwe wa habari Afrika Mashariki, Philip Ochieng, katika mahojiano aliyofanyiwa na gazeti la Daily Nation la Kenya hivi karibuni.
Mwandishi wa habari hiyo alitaka kujua kutoka kwa Ochieng kuhusu kwanini, ingawa alifanya naye kazi nchini Tanzania kwenye miaka ya 1970, amekuwa akitoa kauli za kumshutumu Mkapa kila wakati.
“Mkapa alikuwa mtumishi mzuri wa serikali. Alikuwa na bongo inayochemka ingawa alikuwa mhafidhina wa mrengo wa kulia. Sina maneno mazuri kuhusu urais wake kwa vile yeye ndiye aliyerejesha rushwa nchini Tanzania-jambo ambalo Mwalimu Nyerere alilipiga vita sana enzi zake,” alisema.
Ochieng aliishi na kufanya kazi katika gazeti la serikali la Daily News kwenye miaka ya 1970, wakati huo Benjamin Mkapa akiwa Mhariri Mtendaji wa chombo hicho cha serikali.
Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa Mwandishi huyo alisema hakutaraji kama Mkapa angekuwa hivyo alivyokuja kuwa kwa vile malezi ya wakati ule ya Watanzania chini ya Mwalimu Nyerere yalimaanisha watumishi wote wa serikali wangekuwa wanaoichukia rushwa kwa moyo wao wote.
Ochieng, aliyekuwa mmoja wa marafiki wakubwa wa Barack Obama Sr, baba mzazi wa rais wa sasa wa Marekani, Barack Obama, alikuja nchini kufanya kazi kutokana na kile kilichoelezwa kufuatwafuatwa na utawala wa hayati Jomo Kenyatta wa Kenya.
Katika mahojiano mengine aliyowahi kuyafanya kwenye miaka ya nyuma, Ochieng pia aliwahi kumshutumu Mkapa kwa kitendo chake cha kwenda kinyume na maadili ambayo yalihubiriwa na Mwalimu Nyerere kuhusu uadilifu.
Shutuma kubwa zaidi dhidi ya Mkapa zinaelekezwa katika eneo la ubinafsishaji wa mali za serikali ambapo yeye mwenyewe anadaiwa kujiuzia mgodi wa Kiwira-huku akiitaja Ikulu ya Tanzania kuwa ndiyo ofisi za kampuni yake itakayomiliki mgodi huo.
- See more at: http://www.raiamwema.co.tz/mkapa-ashambuliwa#sthash.ytRDdPdf.lQzDyUxX.dpuf

No comments:

Zilizosomwa zaidi