Saturday, November 3, 2012

BUNGENI LEO

Jumamosi, Novemba 3, 2012: Mbunge wa Dole Mhe. Sylvester Mabumba akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano ulioitishwa na Tume ili kupokea maoni ya Wabunge mjini Dodoma.Kauli mbalimbali za wabunge leo mjini Dodoma kuhusu katiba mpya,
wametaka nafasi za mawaziri zichukuliwe na wataalamu na sio tu
kuzingatia kigezo cha mtu kuwa mbunge.
Kauli hizo zimetolewa leo na wabunge baada ya
Tume ya kukusanya maoni ilipowatambelea wabunge
katika eneo la Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.




No comments: