Katibu wa Jumuiya na Taasisi za
Kiislamu(T), Sheikh Issa Ponda na wafuasi wake 49 jana wakishwa
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam chini ya ulinzi
mkali wa wanausalama kwa kosa la uchochezi na wizi wa malighafi zenye
thamani ya Shilingi milioni 59.
No comments:
Post a Comment