Tuesday, October 2, 2012

Kiwango cha chini katika Mechi itakayochezwa haapo kesho kati ya Simba na Yanga itakuwa ni shilingi 5000 Kitanzania na kiwango cha juu ni sh 30000. Mechi hiyo itachezwa majira ya saa kumi na moja za jioni katika uwanja wa Taifa jijini Dar.

No comments:

Zilizosomwa zaidi