![]() Shabiki wa Yanga akitoa dukuduku lake |
Ushabiki wa soka Tanzania umezidi kukua katika miaka ya karibuni lakini katika washabiki wote wa soka la Bongo hakuna shabiki mwenye ushabiki uliopitiliza kama jamaa huyu mshabiki wa Yanga ambaye hakuridhika na matokeo na alimwaga chozi baada ya Yanga kutoka sare ya 1-1 na Simba. |
|
|
Shabiki
huyo wa Yanga aliangua machozi akishusha lawama nzito kwa refa wa mechi
ya Simba na Yanga pamoja na washika vibendera wake akisema kuwa
wameinyima Yanga ushindi. Angalia VIDEO ya shabiki huyo wa Yanga akishusha lawama zake kwa uchungu mkubwa sana uliomfanya ashindwe kuzuia machozi kutiririka kwenye macho yake. |
||
|
| ||
Wednesday, October 10, 2012
Huyu ndio Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
INASEMEKANA huyu mwanadada ndiye aliyevunja rekodi ya watu weusi duniani maana maranyingi watu walisubiri atabasamu ili waamin...
-
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufund...
-
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inatoa nafasi nyingine kwa watu wenye sifa za kujiunga na vyuo vikuu kutuma maombi yao kwa msimu wa...
-
Majuto anasema kuwa ana watoto tisa ingawa hakuwa tayari kuwazungumzia mama wa watoto hao zaidi ya kumwongelea mkewe wa sasa, A...

No comments:
Post a Comment