Saturday, September 15, 2012
Maoni ya wadau mbalimbali walipokutana na Tume ya kukusanya maoni kuhusu katiba mpya haya hapa. Kuweka kipengere cha kupiga marufuku taraka katika ndoa, Kuruhusu matumizi ya bangi kama sigara nyingine, Kuwaendeleza vijana waliomaliza elimu ya msingi na kushindwa kuendelea, Kila raia mwenye umri kuanzia miaka 18 na kuendelea kulipwa kiwango flani cha mshahara.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
-
KAMBI zinazosigana ndani ya CCM zinaonekana kuchuana vikali katika uchaguzi wa ngazi ya wil...
-
Afisa mmoja mwandamizi katika wizara ya maswala ya kigeni nchini Sudan amesema kuwa mwanamke aliyepewa hukumu ya kifo kwa kubadili...
-
Hapa ni mdahalo uliofanyika jana nchini mMarekani kati ya Barack Obama na mshindani wake Mitt Romney wa Republican
-
No comments:
Post a Comment