Thursday, September 20, 2012

DAWA ZA ARV's SI KITU TENA. Wizara ya afya ikishirikiana na watafiti wamebaini kuwa zile dawa za kupunguza makali ya VVU hazina nguvu thabiti dhidi ya vvu bali kuleta usugu kwa wagonjwa. Hivyo imezitaka hospitali zote nchini kuondoa dawa hizo katika ghara zao za dawa.

No comments:

Zilizosomwa zaidi