Afisa
Mtendaji Mkuu wa Shirika la Majisafi na Maji taka Dar es Salaam (Dawasco
) Mhandisi Cyprian Luhemeja akishiriki zoezi la usafi katika hospitali
ya Taifa ya Muhimbili na watumishi wa Dawasco.
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Dawasco ,Mhandisi Cyprian Luhemeja akiweka maji katika
moja ya mashine inayotumika kuzibulia miundombinu ya maji taka
ijulikanayo kama Jet Machine.
Wafanyakazi
wa Dawasco wakijaribu kuweka sawa mpira wa kunyunyiza maji ili kuondoa
vumbi wakati wakifanya usafi katika Hosptali ya Taifa ya Muhimbili. (P.T)
Wafanyakazi wa Dawasco wakiendelea na usafi katika maeneo mbalimbali ya Hosptali ya Taifa ya Muhimbili.
Afisa
Mtendaji Mkuu Dawasco Mhandisi Cyprin Luhemeja akimueleza jambo Mkuu wa
Wilaya ya Ilala,Raymond Mushi baada ya kumaliza kufanya usafi katika
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.Wengine ni wafanyakazi wa Dawasco.
Wafanyakazi wa Dawasco wakiwa na vifaa vya kufanyia usafi.
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Dawasco Mhandisi ,Cyprian Luhemeja akitoa msaada wa
vitu mbalimbali kwa Mkuu wa wilaya ya Ilala ,Raymond Mushi ambaye pia
alikabidhi kwa uongozi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbi.
Baadhi ya
vitu vilivyotolewa na Dawasco mara baada ya wafanyakazi wake kumaliza
kufanya usafi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Mkuu wa
wilaya ya Ilala,Raymond Mushi akizungumza na wafanyakazi wa Dawasco mara
baada ya kumaliza zoezi la usafi katika Hospitali hiyo.
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Dawasco akizungumza na wanahabri mara baada ya kufanya
zoezi la usafi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Meneja wa
Dawasco eneo la Magomeni Mhandisi Paschal Fumbuka akizungumza na
wanahabari mara baada ya kumaliza zoezi la usafi katika Hospitai ya
Taifa ya Muhimbili.
Chanzo: mjengwa
No comments:
Post a Comment