Friday, October 10, 2014

WATU 7 WAMEUAWA KWA KUCHOMWA MOTO MKOANI KIGOMA KWA SABABU YA IMANI ZA KISHIRIKINA

Watu saba wakazi wa kijiji cha Murufiti, wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, wameuawa baada ya kundi la watu kuwavamia, kuua na kuchoma moto miili yao na zaidi ya 20 kuchomwa moto kwenye kijiji hicho kwasababu ya imani za kishirikina.
Tukio hilo limetokea usiku wa jumatano tarehe nane octoba mwaka huu.
Picha hapa chini ni muonekano wa miili ikiwa imeungua vibaya kwa moto na baadhi ya nyumba zilizochomwa moto

 

No comments:

Zilizosomwa zaidi