Thursday, October 9, 2014

KUTANA NA MWANA MITINDO CHIPUKIZI KING JAPHET THE DESIGNER

Kwa jina anafahamika kama Japhet Lazaro Kihenga, ni mkazi wa Mkoa wa kigoma wilaya ya Kasulu.
Amezaliwa tarehe 21/ 11/ 1995. hajaoa bado yupo single watoto wa mjini mnasema
Ni dogo ambaye ni mbunifu katika uvaaji na mitindo mbali mbali ya mavazi. Hizi ni baadhi ya picha ambazo ametutumia leo baada kutembelea maeneo flani ya mji wa kigoma.
Kama unataka kuvaa na upendeze sio ili mradi umevaa fanya kama unamcheki huyu Bwana mdogo kupitia simu namba 0766 638 112.
Pia mcheki na Whatsapp kupitia namba hiyo hiyo mfanyanye yenu na kumpa ushauri pia.








No comments: