Namba hizo za waziri wa elimu ni 0754 315 922. Hivyo watanzania wote watakaobaini udanganyifu wowote utakaojitokeza kwenye mtihani huo wa darasa la saba sehemu yoyote nchini apate kumpigia simu kupitia namba hizo nakumpatia taarifa kamili kuhusiana na tukio hilo
Tuesday, September 10, 2013
MLUGO AJIPANGA KUDHIBITI UDANGANYIFU KWENYE MTIHANI WA DARASA LA SABA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
picha na Riziki Mashaka.
-
INASEMEKANA huyu mwanadada ndiye aliyevunja rekodi ya watu weusi duniani maana maranyingi watu walisubiri atabasamu ili waamin...
-
-
VIBANDA VILIVYOJENGWA BILA KUFUATA UTARATIBU KWENYE STENDI MPYA YA DALADALA MKOANI DODOMA KUBOMOLEWAMmoja wa wafanyakazi katika ofisi ya Mhandisi wa manispaa ya Dodoma akitoa amri ya kuondoa moja ya vibanda vilivyojengwa kiholela kat...
-
No comments:
Post a Comment