Mamia ya wanaharakati wamefanya mazishi yenye namna ya mzaha ya wabunge wote nchini Kenya.
Wanaharakati hao waliokuwa na majeneza zaidi ya
mia mbili walifanya maandamano jijini Nairobi na kuyateketeza majeneza
hayo nje ya jengo la bunge la Kenya kufuatia hatua wa wabunge kupitisha
sheria ambayo ingewapa marupurupu ya zaidi ya dola laki moja kila mmoja
na mazishi ya kitaifa watakapofariki.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
-
picha na Riziki Mashaka.
-
-
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwaaga Wananchi wa Chato waliojitokeza kwa wingi kumlaki,mara ...
-
GARI aina ya Toyota VX linaloelezwa kuwa mali ya Serikali limekamatwa na polisi likiwa limebeba pembe za ndovu. ...
No comments:
Post a Comment