Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania [MCT], Kajubi Mukajanga
alitangaza hayo na kusema timu hiyo itatoa hadharani uchunguzi huo.
Bodi
ya MCT,TEF iliunda tume hiyo Septemba 4, mwaka huu, iliyoongozwa na
Meneja wa Utafiti na Machapisho wa MCT, John Mirenyi, wakiwemo Mhariri
wa masuala ya siasa gazeti la Mwananchi, Hawra Shamte na Mkufunzi wa
Chuo Kikuu cha Tumaini, Kitivo cha Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya
Umma, Simon Berege.
Mwangosi aliuawa Septemba 3 mwaka huu, kwa
kupigwa na bomu na askari polisi katika kijiji cha Nyololo Mufindi
mahali palipokuwa wafuasi Chadema wakati mahali hapo walikwenda kufungua
tawi la chama hicho
Tayari askari polisi wa Kikosi cha Kutuliza
Ghasia (FFU), Pasificus Cleophace Simon (23), mwenye namba G2573,
ameshafikishwa mahakamani mkonai Iringa kwa mauaji ya mwandishio huyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
-
BAADHI ya wamiliki wa mabasi mkoani Shinyanga, wamesema asilimia 24.46 iliyoongezwa katika nauli haitoshi. Wamiliki hao wameyasema hayo...
-
Mkuu wa Majeshi Nchini, Davis Mwamunyange na Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Said Mwema nao wametakiwa kuji...
-
(Jaji Mstaafu, Joseph Warioba ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba akizungumza na ...
-
No comments:
Post a Comment