Tuesday, September 25, 2012

Timu ya Yanga imelalamikiwa kwa kuvunja mikataba na makocha bila kufuata utaratibu. Ni baada ya Papic ambaye aliyetimuliwa kupeleka malalamiko yake FIFA kuilalamikia timu hiyo kwa kumtimua bila kumlipa mafao yake yote.

No comments:

Zilizosomwa zaidi