Monday, September 17, 2012

Makamu wa pili wa Zanzibar Dk Seif Idd amesema Zanzibar ndio inayofaidi muungano. Amesema Zanzibar inanufaika na muungano huo kwani ndio unaotumika katika shughuli za maendeleo katika eneo hilo.

No comments:

Zilizosomwa zaidi