Monday, August 27, 2012
Kituko kimetokea mkoani Tabora baada ya ziara ya kushtukiza iliyofanywa na mkuu wa mkoa katika stendi ya mabasi ya mkoa huo. Katika usiku wa kuamkia siku ya Sensa mkuu wa mkoa huo Bi Fatuma Mwasa aliitembelea stendi hiyo na kuikuta ina uchafu usioelezeka jambo lililomfanya bi Fatuma kuwakurupusha Watendaji wa wilaya ya Tabora mjini usiku huo kufika na kuanza kufanya usafi mara moja, muda huohuo. Kwa aibu waliyoipata watendaji hao, waliamua kuwapa tenda vijana wakafanya usafi ndani ya stendi usiku huo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Lori la mizigo lililogongana uso kwa uso na basi la Al - Saedy lililokuwa likitoka Dar Es salaam kuelekea Mkoani Dodoma ...
-
-
TCRA yawatoa hofu wenye TV zenye matumbo:MAMLAKA ya Mawasiliano (TCRA) imewataka Watanzania waepuke uvumi wa watu wachache wanaodai kuwa ...
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha na Mhe OmaDr Yussuf Mzee, Waziri wa Fedha ...
-
No comments:
Post a Comment