Monday, October 22, 2012

TCRA YAWATOA HOFU WATANZANIA.

TCRA yawatoa hofu wenye TV zenye matumbo:MAMLAKA ya Mawasiliano (TCRA) imewataka Watanzania waepuke uvumi wa watu wachache wanaodai kuwa TV za zamani hazitapokea matangazo ya mfumo wa digitali kwa kuwa hata zenye migongo zina uwezo sawa wa kupokea matangazo hayo.

No comments:

Zilizosomwa zaidi