Wednesday, October 29, 2014

MSIBA MWINGINE BONGO MOVE-MZEE MANENTO AMEFARIKI

MSIBA : Muigizaji Mzee Manento amefariki dunia.
 
Habari zilizotufukia hivi punde zinasema kuwa muigizaji Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Bado tunaendelea kufuatilia kwa karibu habari hizi na chanzo cha kifo cha mzee wetu huyu.
Mzee Manento atakumbukwa hasa kwa filamu alizocheza kwa umakini kabisa na marehemu Kanumba. Hero of the church, Dar to lagos,fake pastor n.k pumzika kwa Amani
Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina.

No comments: