Tuesday, October 28, 2014

CHID BENZ AENDELEA KUSOTA RUMANDE


MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Chid Benz mchana wa leo amesimamishwa kizimbani kwa mara ya kwanza katika mahakama ya Kisutu na kusomewa mashtaka matatu ambayo ni

1. Kukutwa na madawa na vifaa vya kutayarishaji uvutaji wa madawa
2. Kusafirisha madawa ya kulevya
3. Utumiaji wa madawa ya kulevya
Chidi Benz amerudishwa rumande hadi Novemba 11ambapo atapandishwa tena kizimbani.

No comments:

Zilizosomwa zaidi