Friday, July 25, 2014

UFINYU WA BARABARA WASABABISHA FOLENI KUBWA MWANZA

Hali sio shwari katika barabara ya Lumumba na Kenyata jijini mwanza baada ya magari kushindwa kutembea ipasavyo baada ya mrundikano wa magari kwenye barabara ambazo zipo katikati ya jiji.
Chanzo cha mlundikano wa magari na hivuo kukwamisha safari ni kuwepo kwa barabara ambazo sio pana jijini hapa.
Wakati huohuo hakuna barabara za mchepuko ambazo zinaweza kusaidia kupunguza foleni na mlindikano wa magari richa ya jiji la Mwanza kuwa na magari machache.

No comments:

Zilizosomwa zaidi